Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man Utd appointed Matt Hargreaves as their new director of football negotiations earlier this year and he has begun work at the club this week..

[MEN]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2656206
Habari nzuri sana
 
Real Madrid are expected to explore a summer move for Kylian Mbappe, which could effectively end their interest in #mufc target Harry Kane. But Spurs insist he will not be sold to a Premier League rival under any circumstances.

[Dan Kilpatrick]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
IMG_20230613_181454_897.jpg
 
Licha

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2656301
IMG_20230613_171341_434.jpg
 
Tetesi za Sheikh Jassim kufanikiwa kuchukua timu zote ni feki,akili imechoka hapa sitaamini source yoyote hadi nfapoona update ya Fabrizio Romano
Ni feki mm nilikuwa nawaangalia tu Jana kwenye social media mlivyokuwa excited

Reliable sources zote zilikuwa kimya ,

Taarifa za mwisho kabisa kutuka kwa Fabrizio, Ornstein, MKeagan, Telegraph zote zinasema Sir Jim ndiye anaonekana atashinda zabuni .
 
Ana accuracy ya 99% na muda huu nimeona habari nyingine kuwa bado Glazers wanapokea minority bids zitazowawezesha kuendelea kuwa na control klabuni
Waarabu walifanya propaganda tu ili wapewe timu haraka

Grazzer hawawez kuachia timu kirahisi hivo

Mwisho watampa Chawa wao Sir Jim ambaye amekubali shea kwa 49%
 
EXCL: Manchester United has officially been sold to Qatar's Sheikh Jassim. The tranfer budget for the club is set to rise from Β£150M to Β£450M. Renovation of the training ground will commence immediately.

Natest mitambo tu
 
Waarabu walifanya propaganda tu ili wapewe timu haraka

Grazzer hawawez kuachia timu kirahisi hivo

Mwisho watampa Chawa wao Sir Jim ambaye amekubali shea kwa 49%
Glazers wasipouza timu kwa Sheikh Jassim watapelekwa mahakamani na Investors (minority share holders) kwasababu pesa watakayopata per shares ni nyingi sana na timu isopouzwa 100% wanaweza wasije kupata pesa kama hiyo kwahiyo watataka kujua ni kwanini Glazers wanakataa Β£5B. Kazi kuu ya Chairman ni kuhakikisha wawekezaji wanatengeneza pesa zaidi sasa ikitokea nafasi ya kupata pesa halafu ukafanya biashara kwa maslahi yako binafsi wanahisa wanayo haki kukushtaki.

Glazers safari wamebanwa mbavu. Thamani halisi ya club ni Β£3B wao wanapewa Β£5B wasipouza 100% wanahisa wataathirika kibiashara.
 
Na boss akikasirika aniletee mbape Β£200 na balera Β£80......total inakuwa 730 na mwakani tunatafutana na city sasa
Kwa akili ya mpira aliyonayo ETH nakuhakikishia mwakani tutakuwa ni waviwango sana hawa wakina Pep watapigika sana, kama kikosi cha akina Fred kulimsumbua kwenye FA juzi, vipi tukishusha majembe.
 
Fabrizio Romano: "With the Glazers, #mufc signing Mbappe is not even a topic. But let's see what happens in case they have new owners."

[YT]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
IMG_20230613_224844_748.jpg
 
Kwa akili ya mpira aliyonayo ETH nakuhakikishia mwakani tutakuwa ni waviwango sana hawa wakina Pep watapigika sana, kama kikosi cha akina Fred kulimsumbua kwenye FA juzi, vipi tukishusha majembe.
Haya hayatatimia bila usajili,na hili sakata linaloendelea litaathiri mipango ya kocha kwenye usajili wa kuziba madhaifu.
Tena timu inatokea haiendi kwa Sheikh Jassim ndio tumekwisha kabisa.

Na kama nilivyosema juzi bila wachezaji 6-7 wapya msimu ujao hatutakuwepo zile nafasi 7 za juu.
 
Glazers wasipouza timu kwa Sheikh Jassim watapelekwa mahakamani na Investors (minority share holders) kwasababu pesa watakayopata per shares ni nyingi sana na timu isopouzwa 100% wanaweza wasije kupata pesa kama hiyo kwahiyo watataka kujua ni kwanini Glazers wanakataa Β£5B. Kazi kuu ya Chairman ni kuhakikisha wawekezaji wanatengeneza pesa zaidi sasa ikitokea nafasi ya kupata pesa halafu ukafanya biashara kwa maslahi yako binafsi wanahisa wanayo haki kukushtaki.

Glazers safari wamebanwa mbavu. Thamani halisi ya club ni Β£3B wao wanapewa Β£5B wasipouza 100% wanahisa wataathirika kibiashara.
Hapo nimekupata ,ngoja tuone wiki hii
 
Back
Top Bottom