Dili limeiva kwa mwarabu, bado official statement tu.Timu anaenda kupewa Sir Jim , muarabu akafanye biashara ya Tende na ngamia
Sir Jim Ni mmarekani pia amekubali masharti ya kuuziwa Shea kiasi
Safi Sana Joel na Avram Watoto wa marehemu mzee Grazzer
“It has emerged in recent weeks that Sir Jim Ratcliffe’s bid feels like it is in a really strong position, they have gone into detail in negotiations. There is optimism that it will win in the end.” [@David_Ornstein on the #mufc sale]
Aende haraka. Mtu akifika kwenye 18 anaanza kutetemeka miguu na akili hence anakosa maamuzi wa nini sasaTottenham Hotspur are said to be considering making an attempt to sign Jadon Sancho this summer. They are willing to bid not more than £50 million for the Englishman.
[Daily Star]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2654931
Kabisa utd msimu huu tumeangushwa na forward yaani zimepoteza chances nyingi sana za magoli.Hakuna kwenye midfield ni Bruno na Casemiro tu ndiyo wenye nafuu.
Safu ya ushambuliaji huko ndiyo hovyo kabisa.
Kwenye defence Martinez, Shaw, Lindelof na Bissaka wanastahili kuwa Man United, Varane ni mzuri ila kwa injury rekodi aliyonayo unahitaji mtu atakayekuwa fit msimu mzima kuziba hii changamoto
Bora muarabu ashinde tu ili tulete wazee wa kazi wakina Mbape, Kane, Money n.k. Hakuna kitu kina nikera kama utd kuwa underdog wa city na arsenal.Mwarabu kashinda.
View attachment 2655608
Zaid Al-Hamdan akiwa na Rais wa Zanzibar, H.E. Hussein Mwinyi.
View attachment 2655609
Hamjawai kua naubavu waku battle na utd kwenye kusajili tena tunaweza kuja hapo bandan kwenu tukachukua vitoto viwil au vitatu nahamna chakufanyaIt seems like Muarabu kachukua timu
Ngoja tusajiri haraka kabla hamjaanza kutuletea fujo
Hamna huo ubavu kwasasa ,hivi unajua mlikuwa mnamtaka Willy Saliba juzi hapa ,Hamjawai kua naubavu waku battle na utd kwenye kusajili tena tunaweza kuja hapo bandan kwenu tukachukua vitoto viwil au vitatu nahamna chakufanya
Muda mwingi unakuwa humu kuiponda timu Moja tu nayo ni Manchester United sijawahi kuona ukiwaponda Chelsea humu ingawa ni rivals wenuMimi naandikaga point siku zote ,Ni nyie tu mnachukulia soka Kama Vita , mnachanganya matusi ,n.k
Mwarabu kashinda.
View attachment 2655608
Zaid Al-Hamdan akiwa na Rais wa Zanzibar, H.E. Hussein Mwinyi.
View attachment 2655609