NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,984
- 12,832
Bado kutangazwa tu mkuu, ila kuhusu Dau sheikh Jassim yeye ndio mshindi hata BaBa yake mzazi Jassim kadhihilisha hilo Jana kwenye interview.Jamani vp maana sielewi, hawa mafala Glazers vp wamekubali kumpa timu sheikh Jassimin?
Nichinje mbuzi kabsa hapa
Hivyo ni swala la muda tu kama ni mbuzi kuta unamwandaa [emoji23].
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙.