hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Grazzer hawawez kuachia timu kirahisi hivo, manjesta Ni chanzo kizuri Cha Pesa za bwerereGlazers ni washenzi sana aiseeh, sikutegemea kuona wakiifanya biashara kuwa ngumu kiasi hicho.
Wanataka mtu ambaye watagawana share , hii kusema wanauza timu walikuwa Wana beep tu,
Grazzer kinachowafelisha sio wajanja kwenye soka , wangetafuta Experienced DOF wangemuweka pale Wala wasingepigiwa kelele
Tatizo la manjesta Ni management tu , Ndilo lililoitafuna Chelsea msimu ulioisha ,msimu huu Toddy kakaa pembeni ,
€650m kazitupa chooni
Grazzer family nikionacho watakuja kuvamiwa , pressure ya mashabiki wa Manchester Ni kubwa Sana , huwa wanaandamana kabisa na kufunga mitaa , Kuna baadhi ya mashabiki wameanzisha na timu yao kabisa inaitwa UNITED OF MANCHESTER