Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,627
Leo umeamka vizuri sana unaandika point tupuBaada ya performance ya kutisha ya Onana, jamaa anasogea na mpira Kama Kiungo ,anapiga pass kwa miguu yote ,ilifika muda hakuna mchezaji wa city anayemsogelea
Sasa hivi kila mtu anamuona Degea Kama Ally Salim tu








Bromance

