Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,020
- 34,704
di Maria aliondoka vibaya united hawezi rudi maishaJapo di maria umri umeenda sidhani kama antony anafikia hata nusu ya uwezo wake kuna kroos modric etc
di Maria aliondoka vibaya united hawezi rudi maishaJapo di maria umri umeenda sidhani kama antony anafikia hata nusu ya uwezo wake kuna kroos modric etc
HaaaaahaaaKwahiyo baada ya ushindi wa Jana usiku Pep saivi ataitwa Sir Pep??
Vipi Lukaku mbona haujaleta uchambuzi wake na yeye ?Hata hivyo pamoja na Performance yake timu nzima ya Inter inawachezaji serious sana.
Kikosi kizima cha Inter Milan kuna wachezaji wachache sana Man U wanaweza kusogelea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa Inter Milan.
Ukimwangalia Denzen Dumfries halafu umlinganishe na Diogo Dalot ni mbingu na ardhi,
Nicolo Barrela huwezi kumweka Daraja la Fred na Mictominay.
Jana Marcelo Brozovic, Acerbi na Damian walitudundisha mtu mzima anatakiwa kufanya nini anapopewa kazi.
Kuna vijana walikuwa wakifanya kazi chafu Baston, Barella, na Hakan watu wenye workrate hii kikosini kwetu ni wanne tu. Bruno, casemiro, Martinez na Bissaka.
Kundi lililobaki ni watu ambao wanatakiwa kusubiri kama mwanaume aliyechoka waende kutoa support.
United inakabiliwa na tatizo la kutofanya usajili sahihi.
Ukitaka kujua kama tulipa treble ungerazama substitute yetu tulikuwa na wachezaji wa aina gani benchNyie pia ni wapumbavu tu
Mmeipa Man City trebble ya bure kabisa
Hakuna kwenye midfield ni Bruno na Casemiro tu ndiyo wenye nafuu.Japo di maria umri umeenda sidhani kama antony anafikia hata nusu ya uwezo wake kuna kroos modric etc
Lukaku simweki kwenye kundi la wachezaji.Vipi Lukaku mbona haujaleta uchambuzi wake na yeye ?
Ndugu yangu ,Timu atapewa Sir Jim , maana ni Chawa wa GrazzerQATAR.![]()
Gary Neville: