Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mdau m1 ndo ananitishia nayo iyo video anasema hamtoboi.Uliona ile video ya utabiri wa yai? [emoji23]
Utabiri ukitimia ita-trend sana maana kuanzia QF ilikuwa sahihi.
Lkn nikwambie tu Safar hii city kutobubeba Uefa lbd ndege yetu ipate ajali wkt tunaelekea Instabul.. Vinginevyo inter atajuta kwnn hata alifika final iyo jmos.
Ukitak ujue city wamepania angalia marudio game ya Madrid dkk 25 za kwnz utajua hawa vijana safar hii they mean business [emoji1430]