hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Mngempaga nafasi ya DOF rangnik mngepata wachezaji wazuri kwa Bei nafuuMkuu usifananishe city na utd kwenye market. Utd na Madrid kinachowaponza kwenye usajili ni brand zao. Leo hii City au Liver ikimtaka mchezaji bei yake inakuwa ya dagaa, utd au Madrid akitia mguu kwa mchezaji huyo huyo ghafla bei yake inageuka kuwa ya Sangara.
Tatizo kubwa la manjesta Ni management , wanaofata Ni sehemu ndogo tu ya tatizo
Hao Madrid Wana mtu anaitwa Juni Calafat , sajili zake huwa za Bei Chee ,ukiona sajili za Bei Basi Ni zile sizizoepukika ,Huyo ndiye yupo nyuma ya mafanikio ya Madrid , Perez mpambe tu pale
Calafat ndiye kawaleta kina Rodrigo, Vin, Marcelo, Casemiro, Odegaard, n.k
Sasa angalia manjesta ina Nan mwenye uwezo wakung'amua vipaji au wachezaji sahihi wanaofaa kwa klabu