Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unatoa 200M ili ikupe magoal 10 msimu mzima View attachment 2645963
Tatizo la manjesta sio Graza kuwa hawatoi hela ,japo Graza wanachota Sana ,lakini wakitoacho Ni kikubwa ukilinganisha na bajeti za Liverpool,Arsenal , n.k

Tatizo la manjesta Ni Recruitment mbovu

Top teams zote zinahakikisha kwenye uongozi kunakuwa na watu wa mpira wanaojua Timu inatakiwa icheze vipi ,wasajiliwe wachezaji gani

Mfano Chelsea baada ya kina cech, na wenzie kuondoka ,Tajiri miruzi akaingia mwenyewe mzigoni, kila mchezaji mzuri anasajili akiamini ukiwakusanya wachezaji wazuri Basi unapata matokeo ,kajikuta katumia €600m huku anagombea kushuka daraja .
 
Umeanza vibaya umemaliza vizuri. Kubali tatizo la United linaanzia kwa Glazers kwasababu wao ndiyo wapo juu.

Ila kidogo sasa hivi timu ina muelekeo kocha anasajili wachezaji wa system yake na siyo majina.

Usajili wa Antony bado siuelewi €100m ni pesa nyingi sana. Bado ni raw talent, labda kocha anaamini atampika ataiva.
 
Kama €250m ya uhakika ipo tuachane na Kane.

ST: Rashford / Hojlund
RW: Antony / Amad / Pellistri
LW: Sancho / Garnacho
formation_04_06_2023_ 23_06_39.png
 
Kama €250m ya uhakika ipo tuachane na Kane.

ST: Rashford / Hojlund
RW: Antony / Amad / Pellistri
LW: Sancho / Garnacho
View attachment 2646385
Context:

Mount anakuja kucheza kama right sided no 8.

Timber siyo overlapping RB so tutamhitaji Mount ku-link na Antony. Pressing yao itakuwa ya hatari sana.

Kwenye build up tutaweza kucheza na back 5 (3-2) ya Martinez, Min-Jae na Timber wakitengeneza 3 at the back kwasababu Timber ni mzuri kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma. Shaw inverted kuwa pivot pamoja na Casemiro.

Pia tunaweza kucheza na 2 CBs mbele yao kukiwa na 2 mids. Tukiwatumia FBs Shaw na Dalot (overlapping RB)

Costa kama ball playing GK.

Hojlund kama backup striker, hapo tutapata a balanced team bila hivyo £100m kwa Kane timu itakuwa na matobo mengi.
 
Hatuwezi kusajili beki wa kati wawili labda mmoja tu
 
All these players are available on a free transfer this summer when their contracts expire at the end of the month...

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2645871
Kibibi kizee cha turin juventus lazima apite na mmoja hapa
 
Ww unaliona hilo likitokea? Progress yetu haiendii kwa haraka kiasi hiko...
Naliona likitokea maana usajili wa Mount una tija zaidi tukimpata Timber.

Baada ya kumkosa De Jong, Timber ni ball carrier mzuri wakati Mount akiwa RCM anafanya underlapping runs & Antony akiwa juu kulia kutengeneza space.
 
Mmh hatuwezi kusajili beki wa kati wawili na wakati huo huo tunasajili kipa nafikir wataangalia sehem muhimu zaid...alafu saiv Manchester imebadilika sana kulinganisha na misimu ya nyuma kwenye soko la usajili hatuna tetesi nyingi kama ilivyokuwa awalii..hizi tetes za mount huenda ni za kuongeza thaman ya mchezaji lakn sizani kama ni za uhakika maana ndio Kinachofanyika sana mchezaji anahusishwa na Manchester kumbe ni kwania ya kuongeza thaman yake sokoni
 
Tetesi za Mount ni za kweli, anahitajika na EtH. Tunahitaji sana no 8. Tukicheza na double 8s Harry Kane ni striker atakayetufaa sana kwa uwezo wake wa ku-drop deep na kuwa kama no 10 tatizo ni budget bado Madrid nao msimu huu wataingia sokoni kutafuta striker wanaweza kutuharibia mipango yetu.

Kitu kinachonipa matumaini ni jinsi EtH anavyosahili wachezaji watakao-fit kwenye system yake na siyo kama zamani United ilikuwa ni kuokota tu watu.
 
Umeanza vibaya umemaliza vizuri. Kubali tatizo la United linaanzia kwa Glazers kwasababu wao ndiyo wapo juu.

Ila kidogo sasa hivi timu ina muelekeo kocha anasajili wachezaji wa system yake na siyo majina.

Usajili wa Antony bado siuelewi €100m ni pesa nyingi sana. Bado ni raw talent, labda kocha anaamini atampika ataiva.
Graza kinachowaponza wametoa Uhuru mkubwa watu washike nyadhifa ambazo Ni muhimu Sana ,

Nikweli wanabeba pesa mingi Sana, lakini bado kile kidogo wanachokitumia kwa usajili Ni kikubwa ,hamjawahi kuwa na tatizo la kusajli wachezaji wa €80-100m

Kama Ni hivo tatizo lipo kwa uongozi, Graza hawajui mpira inajulikana , walipotoa mianya waletwe watu wa mpira bado hawakuletwa watu wampira

Leo timu akichukua muarabu bado mtasajili wachezaji wa Bei zile zile ambazo alikuwepo Graza ,

Siku mtakapoleta watu Kama kina Van der sar , Luis ocampos ,na watu wanaofanana mitazamo Kama hai, Katika uongozi wenu , hamtaona ubaya wa Grazzer.

Hivi unajua pale city wachezaji wao ukimtoa jack Ni wa Bei €30-60m tu ,
 
Context:

Mount anakuja kucheza kama right sided no 8.

Timber siyo overlapping RB so tutamhitaji Mount ku-link na Antony. Pressing yao itakuwa ya hatari sana.

Kwenye build up tutaweza kucheza na back 5 (3-2) ya Martinez, Min-Jae na Timber wakitengeneza 3 at the back kwasababu Timber ni mzuri kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma. Shaw inverted kuwa pivot pamoja na Casemiro.

Pia tunaweza kucheza na 2 CBs mbele yao kukiwa na 2 mids. Tukiwatumia FBs Shaw na Dalot (overlapping RB)

Costa kama ball playing GK.

Hojlund kama backup striker, hapo tutapata a balanced team bila hivyo £100m kwa Kane timu itakuwa na matobo mengi.
Madrid naona wameweka nguvu kwa Kane ,wamebakiwa na Rodrigo na Vini Jr tu kwenye attacking yao

Na Kane Sion akiuzwa chini ya €150m kwa timu za EPL

Hapo una Disturbe bajeti yote

Diogo Costa ana release clause ya €75m

Kim ana release clause nadhan kwenye €50m

Hapo Chelsea Wanataka €70-80m kwa mount
 
Halafu timu zinajua United ni sehemu ya kuchota pesa. Mpaka sasa haieleweki pesa ya usajili ni kiasi gani.
 
Back
Top Bottom