Wewe mbwa nenda kwenye jukwaa la mashoga wenzako wa arsenane punguza ujinga tumekuchokaHuku dalot na wanabisaka wanapewa mikataba
Degea anasujudiwa asaini mkataba mpya
Eriksen atapewa mkataba mpya ilhali ikifika dk 60, ulimi tai
Analetwa mount kwa €80m ambaye haijulikani anakuja kuongeza nini
UTAPELI HAUTAISHA KAMWE
Tatizo la manjesta sio Graza kuwa hawatoi hela ,japo Graza wanachota Sana ,lakini wakitoacho Ni kikubwa ukilinganisha na bajeti za Liverpool,Arsenal , n.kUnatoa 200M ili ikupe magoal 10 msimu mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]View attachment 2645963
Sasa tumedhalilika nini we mama? City alikuwa na upper hand hata kabla ya game ila tumeenda naye sawa mpk wakaanza kupoteza muda dk za mwisho.Sema mmejua kudhalilika 😂
Umeanza vibaya umemaliza vizuri. Kubali tatizo la United linaanzia kwa Glazers kwasababu wao ndiyo wapo juu.Tatizo la manjesta sio Graza kuwa hawatoi hela ,japo Graza wanachota Sana ,lakini wakitoacho Ni kikubwa ukilinganisha na bajeti za Liverpool,Arsenal , n.k
Tatizo la manjesta Ni Recruitment mbovu
Top teams zote zinahakikisha kwenye uongozi kunakuwa na watu wa mpira wanaojua Timu inatakiwa icheze vipi ,wasajiliwe wachezaji gani
Mfano Chelsea baada ya kina cech, na wenzie kuondoka ,Tajiri miruzi akaingia mwenyewe mzigoni, kila mchezaji mzuri anasajili akiamini ukiwakusanya wachezaji wazuri Basi unapata matokeo ,kajikuta katumia €600m huku anagombea kushuka daraja .
Kikosi hiki unaweza kuchukua ubingwa wa epl na kuleta ushindani UEFA? sidhani kama itawezekana kwa Man u, unless wanataka kuwa wasindikizaji.Kama €250m ya uhakika ipo tuachane na Kane.
ST: Rashford / Hojlund
RW: Antony / Amad / Pellistri
LW: Sancho / Garnacho
View attachment 2646385