Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anatoka Sancho anaingia Werghost

Wonders shall never end
IMG_20230603_205606.jpg
 
Mashabiki wengi wa manjesta Wanataka Technically players ,kipa sweeper ,lakini msichokijua 7 hag hayupo tayari na hajajiandaa na hawezi kucheza Total football

Pale Ajax hata mgunda ukimpeleka atainekana anacheza total football [emoji1787]

Ndio maana wachambuz nguli hatujashangaa Dalot kupewa mkataba , Wana bisaka yupo mbion kupewa kandaras mpya

Degea muda wowote atapewa miataba mpya

Tena Degea ndiye anaringa kusaini[emoji1787][emoji1787]
 
7 hag na Project uchwara

1:Anthony wa €30m kanunuliwa €100m

Hajafikisha Goli 5 kwenye ligi

2: Malacia - aliletwa Kama mbadala wa Luke Shaw , kilichomkuta kajikuta benchi , Standard ya Malacia ndio 7 hag alikuwa anataka icheze first eleven (HUU NI UTANI )

3: Eriksen ( huyu hawezi kumaliza dakika 60 uwanjani)

4: Casemiro miaka 30+ , huyu Ni class but Ni aibu kumtegemea mchezaji ambaye umri umeenda ,ana guarantee ya Suspension kila mechi

5: Werghost ( huyu Ni mzururaji uwanjani ,ana Goli 0 )

6:Lisandro Martinez huu ndio Usajili Bora , uliozingatia class ,age ,n.k

FB_IMG_1685695302313.jpg
 
Man City anakwenda kuvunja rekodi enu ya kiboya 😂😂😂😂
Sisi ndiyo tutabaki kuwa timu ya kwanza kufanya Treble & Three-peat x2.

Rekodi zipo ili zivunjwe. Man City ni timu bora, wakiivunja hiyo rekodi wamestahili.

Lakini bado dk 90 ili wapate hiyo heshima. Wewe baki na Chelshit yako £600m mmetumia kupambana na Fulham. 😂🚮
 
Sema jana tulicheza laini laini sana.

Timu zinazomfunga Man City ni zile zinazokuwa aggressive sana
Kweli kabisa. Ukiacha uzembe wa DDG bado timu haina ari ya upambanaji.

Timu kama Brighton inatuzidi.
 
7 hag na Project uchwara

1:Anthony wa €30m kanunuliwa €100m

Hajafikisha Goli 5 kwenye ligi

2: Malacia - aliletwa Kama mbadala wa Luke Shaw , kilichomkuta kajikuta benchi , Standard ya Malacia ndio 7 hag alikuwa anataka icheze first eleven (HUU NI UTANI )

3: Eriksen ( huyu hawezi kumaliza dakika 60 uwanjani)

4: Casemiro miaka 30+ , huyu Ni class but Ni aibu kumtegemea mchezaji ambaye umri umeenda ,ana guarantee ya Suspension kila mechi

5: Werghost ( huyu Ni mzururaji uwanjani ,ana Goli 0 )

6:Lisandro Martinez huu ndio Usajili Bora , uliozingatia class ,age ,n.k

View attachment 2645692
Unateseka sana.
 
Sisi ndiyo tutabaki kuwa timu ya kwanza kufanya Treble & Three-peat x2.

Rekodi zipo ili zivunjwe. Man City ni timu bora, wakiivunja hiyo rekodi wamestahili.

Lakini bado dk 90 ili wapate hiyo heshima. Wewe baki na Chelshit yako £600m mmetumia kupambana na Fulham. [emoji23][emoji706]
Hawa Chelsea wakuwaacha kwanza maana Kama Ni Engine inahitaji full overhaul

Kwasasa mpira usipozingatia Style of play na Profile husika za hao wachezaji wakucheza hiyo style ,

Ndio yanatokea haya ya Chelsea , £600m lakin wanagombea kushuka daraja
 
Official :BENZEMA anaenda Uarabuni kwenye ligi za Tende

So Madrid wataingia kwa nguvu zote kwa Harry Kane

Nikionacho Mimi Kama mchambuzi nguli

Rasmus ndiye atasajiliwa manjesta pamoja na Werghost kupewa mkataba au Vicent ABOUBAKARI
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1] baada ya jana yanga kufungwa ngoja nije kujipa furaha kwa kuwacheka nyumbu
20230603_170128.jpg
 
Mashabiki wengi wa manjesta Wanataka Technically players ,kipa sweeper ,lakini msichokijua 7 hag hayupo tayari na hajajiandaa na hawezi kucheza Total football

Pale Ajax hata mgunda ukimpeleka atainekana anacheza total football [emoji1787]

Ndio maana wachambuz nguli hatujashangaa Dalot kupewa mkataba , Wana bisaka yupo mbion kupewa kandaras mpya

Degea muda wowote atapewa miataba mpya

Tena Degea ndiye anaringa kusaini[emoji1787][emoji1787]
Wewe ni mjinga wa Dunia.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tumuongezee mkataba Weghost au tumsajili Vicent aboubakari

[emoji599][emoji2422]| JUST IN: Harry Kane is the most likely Benzema replacement. @JLSanchez78
IMG_20230601_202810.jpg
 
Madrid anafagia fagia huko kwake,sie tupo tu
Huku dalot na wanabisaka wanapewa mikataba

Degea anasujudiwa asaini mkataba mpya

Eriksen atapewa mkataba mpya ilhali ikifika dk 60, ulimi tai

Analetwa mount kwa €80m ambaye haijulikani anakuja kuongeza nini

UTAPELI HAUTAISHA KAMWE
 
Back
Top Bottom