IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,805
- 7,258
Kipa hajui kupanga mabeki, hajui ku control mpira hajui kuanzisha mashambilizi.Shida sio kipa, ni kuongeza nguvu kwa midfield na washambuliaji
Kipa hajui kupanga mabeki, hajui ku control mpira hajui kuanzisha mashambilizi.Shida sio kipa, ni kuongeza nguvu kwa midfield na washambuliaji
Jukwaa lao kakimbia ajabu ananengua huku.Kijambio kinakuwasha ww maana una shobo sana na hili jukwaa
Kaka zake FeiHivi mbona wachezaji wote wa Man U wamekonda sana? Yani hawana misuli kabisa. Au ndio huwa wanalisha ugali na sukari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣EtH kama anataka kupiga hatua msimu ujao aanze kwa kuleta kipa.
Yani ni wakondefu sanaKaka zake Fei
Hasa Rashid MpembaYani ni wakondefu sana
Kawaida yako mbona mbwa jike wewe.Nyumbu mkipata hata goli la offside mniite mbwa jike
Nipo tayari tubet ,next season anarudi na Degea Kama no.1 ,EtH kama anataka kupiga hatua msimu ujao aanze kwa kuleta kipa.
Ili tuwe tishio msimu ujao inabidi tuondokane na utegemezi wa Rashford, Kipa number moja asiwe De gea, bruno apate mpinzani mwenye uwezo, tupate winga tishio na Energetic kama money, na ikiwezekana aje money mwenyewe, tupate straiker tishio hapa namzungumzia Hary Kane, tupate Beki wa kati mithili ya martinezi. Hapa hata tukutane na timu gani lazima tuwapige na mpira tuwachezee.Sio mbaya hata haya matokeo sikuyategemea nilijua tungepigwa nyingi ila tumecheza poa. Tunahitaji watu angalau watano hapo msimu ujao tunaweza kutoa challenge nzuri.
Hivi mbona wachezaji wote wa Man U wamekonda sana? Yani hawana misuli kabisa. Au ndio huwa wanalisha ugali na sukari

Na huu ndo ukweli, na hawa ndo wa kubakiKitendo Cha kumpa mkataba Dalot na kumbakisha Wana bisaka , eti wameimarika Ni dalili za kuendelea kupiga marktime
Ndio haya ya Sancho akifunga Goli mechi 1 , tunaandamana tunasema Sancho Ni potential ,Sancho amerudi yule wa Dortmund
Manjesta wanatakiwa kubaki wachezaji wasiozidi watano
Luke Shaw
Lisandro
Garnacho
Rashford
Bruno
Casemiro Kama sub
Wengine wote vunjia mikataba na kuwauza