IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,811
- 7,277
Kenge nyie hamna timu wala kocha
[emoji119][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sancho anapiga nyeto sio bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mbona wachezaji wote wa Man U wamekonda sana? Yani hawana misuli kabisa. Au ndio huwa wanalishwa ugali na sukari?
Tafuteni kipa mwingine kenge nyie
Sancho akifunga Goli 2 ndani ya mechi 10 mnadanganyana Ni potential [emoji1787][emoji1787]
Anthony wa €[emoji817] m nae anafata njia hiyo hiyo
Kijambio kinakuwasha ww maana una shobo sana na hili jukwaaTumekufa kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kipa ni tatizo. Hajui kutuliza team na ana uzembe wa mara kwa mar.Shida sio kipa, ni kuongeza nguvu kwa midfield na washambuliaji
Kipa hajui kupanga mabeki, hajui ku control mpira hajui kuanzisha mashambilizi.Shida sio kipa, ni kuongeza nguvu kwa midfield na washambuliaji
Jukwaa lao kakimbia ajabu ananengua huku.Kijambio kinakuwasha ww maana una shobo sana na hili jukwaa