Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,094
- 2,825
Ona huyu nae mjinga ndomaana ukaitwa nyumbu unafikiri kuachana na mchezaji ni rahisi kama mkataba haujaisha?? Inabidi kuvunja mkataba na kuvunja team inabidi imlipe mchezaji mamilioni ya pesa sasa watalipa wangapi?Tunahitaji ukatili wa mwalimu katika usafishaji wa wachezaji.
Akifeli hapo mwezi disemba tunamtimua
Ficha ujinga sawa?