kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,025
- 15,129
Mwaka huu mancity kila kitu ni chao
Mwarabu kawahidi wakichukua treble, kila mchezaji anachukua Pound 2m.Na wale jamaa sasa hivi ni wa moto hawafai hata kukutana nao.
Acha muda useme
Hata wakikosekana hao bado wanachuku UEFA, City ana watu hata viwango vya vinakaribiana. Wewe jiandae kupasuka tu leo Pep hana masihala round hii.Kuna nafasi ya kuwapeleka wodin key players wa city
Vunja KDB
Vunja rodri
Wasicheze uefa final
Mwaka huu mancity kila kitu ni chao
Sioni njia wanayotumia kupona leo
Hata wakikosekana hao bado wanachuku UEFA, City ana watu hata viwango vya vinakaribiana. Wewe jiandae kupasuka tu leo Pep hana masihala round hii.
Tushashinda. 😁🔥Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester City 0 vs Manchester United 2
[emoji355]11:00 jioni
[emoji2522] Wembley
Man City mnachocheza nacho hamkijui hakika kitawaramba [emoji39][emoji39]
Pigaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaaaa
Chinjaaaaaaaa
GGMU [emoji83][emoji83][emoji83]
View attachment 2644758
Huyu fundi yuko wapi?Tangu injury ya Chelsea hatupata taarifa zake nayeye ndo anawajulia mwacity vilivyoKikosi kina tia faraja kidogo.View attachment 2644784
Na unaambiwa hatofanya subIla pep duu mfumo gani huu kaingia nao[emoji2]
Nilichokisema hapa ndiyo EtH anavyoanza leo. Bruno kama winger ili kati kuwe na watu wa kazi.Mpira wa Ulaya ni uwezo na siyo umri. Ninachoona tu leo kocha anaweza kumuanzisha Bruno kama Winger kuongeza nguvu pale kati maana City eneo hilo ndiyo la kuwadhibiti.
Neti ina matoboKikosi kina tia faraja kidogo.View attachment 2644784