Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii game ingemfaa sana Antony ila ndo hivyo basi tu. Ila timu yetu ili ikae sawa inabidi tufumue kuanzia goli kipa kama alivyofanya Klop na Pep.
Sasa hizo wings zimebanwa ndiyo angefanya nini sasa
 
1585489232.jpg
 
Kama timu msimu huu tumefanya vizuri kinyume na matarajio ya wengi. Tukutane msimu ujao najua kuna watu hawajamuheshimu ETH kwa sasa ila msimu ujuo watamuheshimu. Huwezi kucheza na timu haina straiker EPL na ukamaliza top 4, kufika fainali FA na kuchukua karabao.
 
Back
Top Bottom