Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu mnaichukulia Enter poa sana ujue kwa ukubwa Enter ni father kwa City hivyo lazima city aingie kwa tahadhari ikienda kichwa kichwa ataliwa kichwa, timu za Italy sio za kuchukulia poa hasa katika hatua za fainali.
As Roma ameliwa kichwa na Sevilla, acha kutisha watu wewee.
 
Hii game ingemfaa sana Antony ila ndo hivyo basi tu. Ila timu yetu ili ikae sawa inabidi tufumue kuanzia goli kipa kama alivyofanya Klop na Pep.
 
Back
Top Bottom