Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,337
- 33,724
JuaDaaah!
JuaDaaah!
Na nyie bembeeniMANCHESTER United wameanza kubebwa
Ngoja tuone mpaka mwishoNa nyie bembeeni
Sasa unafkr pep ataweka uyo kipa kwani ni mjinga? Enewei Pep bangi anayovuta anaweza kuweka uyo kipa na UCL abebe tena bila sub yoyoteHasa Manchester city UEFA champions league wakienda penati hawatoboi kwa huyu kipa wao
Asijaribu japo huyo kipa ana confidence saana akirudishiwa mpiraSasa unafkr pep ataweka uyo kipa kwani ni mjinga? Enewei Pep bangi anayovuta anaweza kuweka uyo kipa na UCL abebe tena bila sub yoyote
This might be the toughest final for Pep than UCL final vs Inter Millan hata aweke team ya benchi yaani benchi kuna Rodri,Alvarez,Akanji,Mahrez kwenye UCL atashinda tuAsijaribu japo huyo kipa ana confidence saana akirudishiwa mpira