trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 764
- 1,414
Kwani Ferg timu ni ya kwake ?
Kuna sehemu hapo nilieleza kuwa ferg timu ni yake ??
Kwani Ferg timu ni ya kwake ?
Bebwa na wwMANCHESTER United wameanza kubebwa
Mzee hana kazi akale wapi sasa asipowalamba miguu kina glazzer family unataka akale wapi?Acha ale maisha na maboss weweKuna sehemu hapo nilieleza kuwa ferg timu ni yake ??
Kweli tuta sio goli halihesabikiKwaiyo bila tuta hatutoboi. Tutapigwa nyingi mno
Sikia hii ng'ombeHuu msako nawashauri nyumbu mtoke uwanjani kimbieni
Watu mnaichukulia Enter poa sana ujue kwa ukubwa Enter ni father kwa City hivyo lazima city aingie kwa tahadhari ikienda kichwa kichwa ataliwa kichwa, timu za Italy sio za kuchukulia poa hasa katika hatua za fainali.Sasa unafkr pep ataweka uyo kipa kwani ni mjinga? Enewei Pep bangi anayovuta anaweza kuweka uyo kipa na UCL abebe tena bila sub yoyote
Mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia goli la tutaKweli tuta sio goli halihesabiki
Ficha ujingaWatu mnaichukulia Enter poa sana ujue kwa ukubwa Enter ni father kwa City hivyo lazima city aingie kwa tahadhari ikienda kichwa kichwa ataliwa kichwa, timu za Italy sio za kuchukulia poa hasa katika hatua za fainali.
Mmepigwa chapili hapaMwenye link yakuchekia gemu??? Huku umeme umeenda *****
As Roma ameliwa kichwa na Sevilla, acha kutisha watu wewee.Watu mnaichukulia Enter poa sana ujue kwa ukubwa Enter ni father kwa City hivyo lazima city aingie kwa tahadhari ikienda kichwa kichwa ataliwa kichwa, timu za Italy sio za kuchukulia poa hasa katika hatua za fainali.