Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,323
- 33,709
Katika wachezaji wote niliotaja wote ni average players wanaweza kusajiliwa na timu yoyote na bajeti zao siyo kubwa sana.Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tu [emoji16]
Pia wanatoka kwenye timu ndogo sana kulinganisha na Man U.