Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#mufc are pushing to sign Adrien Rabiot on a free transfer, he is an important target for Erik ten Hag. He has been able to have had exchanges with the midfielder.
 
Brighton ni hatari mno.
Msimu ulioisha alitugonga 4 akaja kutunga Home msimu huu kachukua point zote 6 inauma sana kama haitoshi tumemfunga goli 1 tu mechi zote 4 cjui 3 tulizocheza

Kama haitoshi alimtoa liva FA kwa kibano cha 4 hakuamini akambaka 3 tena Liva hakuamini

Leo kamdinya aseno nyingi tu wakati huo city wamechukua point zote 6 kwa brighton

Hawa jamaa inabidi tukutane nao tuwachape hata 4 heshima irudi mahala pake
 
Ndo ufalme wenyewe mpaka PEP aondoke pale EPL itakua tayar farmer league

Sio mfalme dogo janja
Ufalme unapimwa na wingi wa mataji
Sasa karejee kujua mfalme wa EPL ni timu gani ukipata jibu njoo tena kutuhabarisha
 
Msimu ulioisha alitugonga 4 akaja kutunga Home msimu huu kachukua point zote 6 inauma sana kama haitoshi tumemfunga goli 1 tu mechi zote 4 cjui 3 tulizocheza

Kama haitoshi alimtoa liva FA kwa kibano cha 4 hakuamini akambaka 3 tena Liva hakuamini

Leo kamdinya aseno nyingi tu wakati huo city wamechukua point zote 6 kwa brighton

Hawa jamaa inabidi tukutane nao tuwachape hata 4 heshima irudi mahala pake
Msimu huu wababe sana
 
#mufc are pushing to sign Adrien Rabiot on a free transfer, he is an important target for Erik ten Hag. He has been able to have had exchanges with the midfielder.
Duh hivi hili limeshakuwa tatizo Sugu pale United ?

Man United ilitumia misimu miwili kumsajili Harry Maguire.

Ikatumia misimu miwili kumsajili Jadon Sancho.

Huu ni msimu wa tatu kila dirisha Man United inahusishwa kumsajili Rabiot hata alipokuwa free agent tulishindwa.

Ni msimu wa pili pia United wanahusishwa kumsajili Frank De Jong.

Huu ni ugonjwa au kukosa mwelekeo ?
 
Sio mfalme dogo janja
Ufalme unapimwa na wingi wa mataji
Sasa karejee kujua mfalme wa EPL ni timu gani ukipata jibu njoo tena kutuhabarisha
Acha ushabiki maandazi dogo wewe unaongelea mambo ya past miaka 90 uko Mufc na aseno walibeba makombe kama yote coz ilikua ndo prime yao ya kutamba na Mm naongelea currently ambapo city ndo mfalme kama unabisha peleka team yako waipige 6 tena au peleka ndugu zako Arsenal wapigwe 4 tena au maadui zako Liva wapigwe 4 tena pale Etihad

Tunaposema mfalme sio kutamba kwa team kubwa tu bali kubeba makombe PEP kabeba EPL kama zote,FA ndo balaa na sasa anaenda kupiga zote kwanza J5 anamkaanga madrid

Najua unaumia lakini Wape Maua yao
..
 
Dogo janja rudi tena kwenye mada husika
Alafu uliza kwa watu nani ni mfalme wa EPL
Ili tukuite mfalme tunakuuliza maswali yafuatayo

Timu yako ina Fifa Club World Cup ngapi?
Timu yako ina UEFA Champions league ngapi?
Timu yako ina UEFA Super Cup ngapi?
Timu yako ina makombe ya EPL mangapi?
Timu yako ina makombe ya FA mangapi?
Timu yako ina Corabo Cup ngapi?
Timu yako ina Community shield ngapi?

Ndo ttzo la kizazi cha JK mnajifanya ujuaji mwingi kumbe hopeless Uyo Arsenane wako pia hayupo kwenye ufalme wa EPL kenge weee..

Ndio maana mashuleni kunasomo la historia sababu ya wapuuzi km nyinyi
 
Sikia dogo Kuna point ukifika ukaacha kuangalia mpira kama shabiki na kuangalia kama mwanasoka utaacha kuumia kwa mafanikio ya team pinzani..Ila ukiendekeza ushabiki utabaki ivyoivyo kuhesabu makombe ya miaka 90 ambapo ulikua bado ujazaliwa nakwambia hivi PEP kaongeza Mkatabaka wa miaka 10 utaumia sana mdogo angu

Haya toa povu
 
Jibu kwa facts
Unabaki kusema Pep kaongoza mkataba miaka 10
Ovyoo kweli kenge wewee

Next time think before you speak nonsense
 
Acha ushabiki maandazi dogo wewe unaongelea mambo ya past miaka 90 uko Mufc na aseno walibeba makombe kama yote coz ilikua ndo prime yao ya kutamba na Mm naongelea currently ambapo city ndo mfalme kama unabisha peleka team yako waipige 6 tena au peleka ndugu zako Arsenal wapigwe 4 tena au maadui zako Liva wapigwe 4 tena pale Etihad

Tunaposema mfalme sio kutamba kwa team kubwa tu bali kubeba makombe PEP kabeba EPL kama zote,FA ndo balaa na sasa anaenda kupiga zote kwanza J5 anamkaanga madrid

Najua unaumia lakini Wape Maua yao
..
Man City hawezi kumtoa Mardid kwenye Champions League.
 
Hawa vijana wameshapotea.
20230515_123832.jpg

20230515_123839.jpg
 
Sikia dogo Kuna point ukifika ukaacha kuangalia mpira kama shabiki na kuangalia kama mwanasoka utaacha kuumia kwa mafanikio ya team pinzani..Ila ukiendekeza ushabiki utabaki ivyoivyo kuhesabu makombe ya miaka 90 ambapo ulikua bado ujazaliwa nakwambia hivi PEP kaongeza Mkatabaka wa miaka 10 utaumia sana mdogo angu

Haya toa povu
Pep na Hawa wengine wanatofatiana point ngapi.

Kocha mfalme ni yule ambaye hawezekani. Je pep hawezekani?

Hapa Sina wa kubishana naye.

Mwalimu ambaye anafungika, wakaiwa tu.

Arteta angeweka gepu kubwa tungeongea mengine.

Fergie alifungika, aliteseka pia. Pep ni kocha wa kawaida sana. Kwa wenye kumbukumb pep anaangalia timu ya kufundisha, kwanza uwepo mkwanja. Barca, Munich Bayen nk wanapesa, asingeifundisha united, wabahili.

United wakati David Gili, sio kama Ed Woodward
 
Back
Top Bottom