Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Elanga unamuhesabu bado aaah .Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.
Amad, Pellistri, Sancho, Antony, Rashford, Garnacho, Greenwood & Elanga.

Kuna silent operation inaendelea ya kumuhujumu super captain Maguire kisiki ukuta wa BerlinHivi mbona Lendelof akicheza na watu wengine anakuwa mzuri ila akicheza na Maguire anaonekana mbovu.
Acha uongoPep alipewa €500M na zaidi msimu wa kwanza akafumua kikosi chooote wewe 200M unauona ni pesa ya maana
Muarabu apewe timu haraka
Kwa kipindi kile unadhani ni hela ndogo? Fuatalia hiyo fedha iliweza kununua wachezaji wangapi.Acha uongo
During his first season in England, Pep Guardiola spent €203 million on reinforcements for Manchester City
Ten haag hana jicho la usajili atatuletea maflopMwarabu apewe timu basi. Hao "many quality players" usikute na De Jong yupo.![]()
🤣🤣🤣Mtalia muda si mrefuKatika point 9 tunazopigania tunahitaji point 6 tu tujihskikishie champions league.
Martinez, casemiro, ericksen hao nao wameflop???Ten haag hana jicho la usajili atatuletea maflop
Ongeza Antony,Malacia,WerghostMartinez, casemiro, ericksen hao nao wameflop???
Wakawaida sanaMartinez, casemiro, ericksen hao nao wameflop???
hamis kaja kwa id nyingine
Mwamba sana huyu Werghost..nimesikitika sana kusikia huyu mwamba tunamuacha aondoke tunabaki na Martial. AIBU KUBWA HII.
Chambuzi za hamis kabisaa yanW jamaa ni mtafiti sana me najuaga kama huyo ni Hamis kitambo kuna vitu vitatu ambavyo wanafanana
amka usingizini mkuuJust imagine dirisha la usajili linafunguliwa.
Unaenda pale Spurs unabeba Haryy Kane, Son na Emile Hojberg, then unaenda Inter Milan unabeba Nicolo Barrela na Francesico Accerbi na Denzen Dumfries unaenda Bundesliga pale RB Liepzig unabeba Josko Gvardiol na David Raum then unaenda RB unaenda Salzburg unabeba Benjamin Sesko. Unarudi EPL unaenda Soton unaokota Romeo Lavia na Pale Westham unaenda kumchukua Lucas Paqueta.
Then unarudi OT unamrelease, Anthony Martial, Weghorst, Eriksen, Brandon William's, Phil Jones, Eric Bailly,
Then unamuuza Fred, Mc Tominay anaenda Westham kwa exchange na Paqueta, unamuuza kwa mkopo Anthony,Unauza Maguire, Malacia unampeleka kwa mkopo Ac Milan.
Then unaenda sasa preseason tour USA.
Kujiandaa na ligi.
Hahah! Ndoto hizi.Just imagine dirisha la usajili linafunguliwa.

Madrid alifanya hivyo 2009, 2010 na 2011.Hahah! Ndoto hizi.
Mmh kuchanganyikiwa huku endelea kucheza PSJust imagine dirisha la usajili linafunguliwa.