shakwenya
Senior Member
- Mar 5, 2017
- 177
- 303
Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tuMan U anazidiwa nini na Madrid

Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tuMan U anazidiwa nini na Madrid

Katika wachezaji wote niliotaja wote ni average players wanaweza kusajiliwa na timu yoyote na bajeti zao siyo kubwa sana.Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tu![]()
Fan base ya Man U ni kubwa kuliko Madrid, utajiri wa Man U unalingana na MadridVingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tu![]()
Real Madrid kwenye dunia ya soka wameshatengwa wapo peke yao.Madrid alifanya hivyo 2009, 2010 na 2011.
Then unaenda Liverpool unabeba MilnerJust imagine dirisha la usajili linafunguliwa.
Unaenda pale Spurs unabeba Haryy Kane, Son na Emile Hojberg, then unaenda Inter Milan unabeba Nicolo Barrela na Francesico Accerbi na Denzen Dumfries unaenda Bundesliga pale RB Liepzig unabeba Josko Gvardiol na David Raum then unaenda RB unaenda Salzburg unabeba Benjamin Sesko. Unarudi EPL unaenda Soton unaokota Romeo Lavia na Pale Westham unaenda kumchukua Lucas Paqueta.
Then unarudi OT unamrelease, Anthony Martial, Weghorst, Eriksen, Brandon William's, Phil Jones, Eric Bailly,
Then unamuuza Fred, Mc Tominay anaenda Westham kwa exchange na Paqueta, unamuuza kwa mkopo Anthony,Unauza Maguire, Malacia unampeleka kwa mkopo Ac Milan.
Then unaenda sasa preseason tour USA.
Kujiandaa na ligi.
Ukimaliza hapo unakimbia kama mwehu mpaka simba unambeba Onyango na BoccoJust imagine dirisha la usajili linafunguliwa.
Unaenda pale Spurs unabeba Haryy Kane, Son na Emile Hojberg, then unaenda Inter Milan unabeba Nicolo Barrela na Francesico Accerbi na Denzen Dumfries unaenda Bundesliga pale RB Liepzig unabeba Josko Gvardiol na David Raum then unaenda RB unaenda Salzburg unabeba Benjamin Sesko. Unarudi EPL unaenda Soton unaokota Romeo Lavia na Pale Westham unaenda kumchukua Lucas Paqueta.
Then unarudi OT unamrelease, Anthony Martial, Weghorst, Eriksen, Brandon William's, Phil Jones, Eric Bailly,
Then unamuuza Fred, Mc Tominay anaenda Westham kwa exchange na Paqueta, unamuuza kwa mkopo Anthony,Unauza Maguire, Malacia unampeleka kwa mkopo Ac Milan.
Then unaenda sasa preseason tour USA.
Kujiandaa na ligi.
Katafute bwana akakutulize
Fan base ya Man U ni kubwa kuliko Madrid, utajiri wa Man U unalingana na Madrid
project ya man u sio nzurii kama ya Madrid au Man City...lower you expectetion mkuu tupo nyuma sana ndio safarii inaanza hatuwezi kubadili kikosi kizima ghafla...siunaona yanayowakuta Chelsea laknKwa akili yako unaona hiyo hela unanunua nini?Grazzer dirisha lililopita si walitoa hela ya usajili €245m Kama sikosei
Mnataka watoe kiasi gani mseme kweli wametoa pesa? Kumbuka Kuna FFP, wage bills , operation cost
Shangaa.Pep alipewa €500M na zaidi msimu wa kwanza akafumua kikosi chooote wewe 200M unauona ni pesa ya maana
Muarabu apewe timu haraka
Matajiri wame shindwa ku update ata facilities sio hayo matofali ya kuchoma ya toka 90'sFan base ya Man U ni kubwa kuliko Madrid, utajiri wa Man U unalingana na Madrid
Ndiyo tatizo letu kubwa lakini wachezaji niliotaja ni Harry Kane tu ndiyo anaweza kuwa Price tag ya 100.Matajiri wame shindwa ku update ata facilities sio hayo matofali ya kuchoma ya toka 90's
Uende Champions League ukiwa na quality players.Katika point 9 tunazopigania tunahitaji point 6 tu tujihskikishie champions league.
Amad bora aendelee kukaa huko huko azidi kupata game time.Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.
Amad, Pellistri, Sancho, Antony, Rashford, Garnacho, Greenwood & Elanga.
Mfano nani?Ten haag hana jicho la usajili atatuletea maflop
Huo usajili wako utakuwa umepewa £ 1 billion.Just imagine dirisha la usajili linafunguliwa.
Unaenda pale Spurs unabeba Haryy Kane, Son na Emile Hojberg, then unaenda Inter Milan unabeba Nicolo Barrela na Francesico Accerbi na Denzen Dumfries unaenda Bundesliga pale RB Liepzig unabeba Josko Gvardiol na David Raum then unaenda RB unaenda Salzburg unabeba Benjamin Sesko. Unarudi EPL unaenda Soton unaokota Romeo Lavia na Pale Westham unaenda kumchukua Lucas Paqueta.
Then unarudi OT unamrelease, Anthony Martial, Weghorst, Eriksen, Brandon William's, Phil Jones, Eric Bailly,
Then unamuuza Fred, Mc Tominay anaenda Westham kwa exchange na Paqueta, unamuuza kwa mkopo Anthony,Unauza Maguire, Malacia unampeleka kwa mkopo Ac Milan.
Then unaenda sasa preseason tour USA.
Kujiandaa na ligi.
Watu wanaangalia mafanikio uwanjani.Fan base ya Man U ni kubwa kuliko Madrid, utajiri wa Man U unalingana na Madrid
Ten Hag ameshasema ameanza kupanga timu yake kwa msimu ujao.Ndiyo tatizo letu kubwa lakini wachezaji niliotaja ni Harry Kane tu ndiyo anaweza kuwa Price tag ya 100.
Wengine 50, 30, 40.
Wengine unawasajili kwa mkopoHuo usajili wako utakuwa umepewa £ 1 billion.
Man City siyo mfalme ila amekuwa consistent tu kimafanikio.Watu wanaangalia mafanikio uwanjani.
Madrid wapo kwenye league yao peke yao.
Tuache kwanza kujilinganisha nao.
Tupambane kuangushe ufalme wa Man City kwanza. Tukimaliza ndo tuhamie Madrid.