Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,910
- 31,060
duuh... 🤣Uyouyo
duuh... 🤣Uyouyo
analud msimu ujaoHuyu Amad Diallo anawasha tu moto huko Sunderland.
Bonge la free-kick.
Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.analud msimu ujao


New contract until June 2028, signed;
Called up by Argentina national team;





Akija kwetu ataflop tuNo Champions League football for Spurs next season
Hapa 𝙃𝘼𝙍𝙍𝙔 𝙆𝘼𝙉𝙀 wetu mchawi Glazzer tu.
Ningependa tuwe nae Pre Season versus 𝙍𝙚𝙖𝙡 𝙈𝙖𝙙𝙧𝙞𝙙 & 𝘽𝙤𝙧𝙪𝙨𝙨𝙞𝙖 𝘿𝙤𝙧𝙩𝙢𝙪𝙣𝙙 what a momentView attachment 2620696
Akija kwetu ataflop tu

Kwangu mimi mawinga hatari ni hao wanaoanzia na herufi G wakifuatiwa na Antony hao wengine inategemea siku ya mechi wamehamkaje.Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.
Amad, Pellistri, Sancho, Antony, Rashford, Garnacho, Greenwood & Elanga.
Huo uwanja ukijaa upate mashabiki kama wa Morocco vichaa lazima mchezaji upate mchecheto.Michigan Stadium.
Capacity: 107,601 ila siku hiyo ulijaza mashabiki 109,318.
Aaah operation inaenda vizuriUnaiona kazi ya jasusi la kidutch ?
Ana mhujumu Maguire wazi wazi.Aaah operation inaenda vizuri
Leo umepoa hatujakuzoea hivi mwenetu jasusiAaah operation inaenda vizuri
Sancho na masho wanatoshaGarnacho
Greenwood..
Hii combo on our wings kama wangekuwa pamoja na kukomaa tungekuwa safi sana kule mbele..
Kina Anthony na Sancho wanapata nafasi kibao lakini magoli wanayofunga hamna..