verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
3+7 hug ni jasusi la Dutch government hapo unyumbuni
Apewe balon d'OrMarcus Rashford only has four goals and two assists in his last 15 matches in all competitions.
===============
kwa ufupi amerudi kwenye default setting yake tulioizowea.Apewe balon d'Or
Kwenye soka ukiwa mchezaji ukifika 30s unakuwa considered kama mzee.Aahh kmmk ten hag ni kijana 🤣🤣🤣
Ujana mwisho miaka mingapi wakuu 🙌🏾🙌🏾
[emoji81][emoji81][emoji81]kijana alianza kujiona mbappe ..Marcus Rashford only has four goals and two assists in his last 15 matches in all competitions.
===============
Per MertesackerMimi sijawahi kuona kapteni wa timu anawekwa benchi kisa kiwango
Kisa kiwango?Per Mertesacker
Hatuwezi kufunga magoli muda mwingi hatuna mpira tunakimbia kuutafuta.Ila sometime jamani tujiulize tu hivi kweli mnaona timu yetu ina striker kweli pale Yani Mimi sioni kama tuna striker.
Ukiangalia takwimu za viungo pale England Bruno ndo kiungo aliyetengeneza nafasi nyingi sana za mabao kuliko kiungo yoyote lakini mabao hakuna.
Kiukweli sisi tatizo kubwa sana lipo mbele maana kufungwa hizi goal 1/2 mbona kila timu inafungwa unaona tuna angushwa sana na forward yetu kuliko chochote.