Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

EtH asifanye makosa.
20230505_074747.jpg
 
Manyumbu lazima muachie nafasi ya liver nyie niwa Europe tu
Liverpool ana points 59 na amebakiza mechi 4, kama atashinda zote atamaliza ligi na points 71.
Man Utd ana points 63 na amebakiza mechi 5, katika hizo mechi 5 kama atashinda mechi 3 atamaliza ligi na jumla ya points 72.
Je Liverpool ataweza kushinda mechi zote 4 zilizosalia na Man Utd atashindwa kupata points 9 katika mechi 5 zilizosalia?
Kwenye Soka lolote linawezekana, tusubiri ligi iishe tuanze kuchekana.
 
Rekodi inaendelea :
Ukimuondoa Fulham aliye nafasi ya 10, hatujapata ushindi uwanja wa ugenini dhidi ya timu nyenginezo ziliopo top 10 ya msimamo wa ligi kuu.

Tumepata suluhu dhidi ya tottenham, timu nane zilizobakia zimetufunga.

Tittle kontenda hawezi kuwa na tabia za kimalaya malaya
Sure ila timu hii bado haijaondoa laisez fair attitude kutoka kwa Ole
 
Huyu kocha tusubiri tuone msimu unaokuja, lakn anajichanganya sana kwenye sub. Muda utaonyesha ikiwa kweli n kocha
Anthony pamoja na mapungufu yake ila hua analeta balance kubwa sana kwenye timu, kila anapotolewa hua unaona kabisa jinsi jahazi linavyolalia upande mmoja, sijui kwa nini 7Hag anashindwa kuliona hili?
 
Daaaahhhh forward kule mbele zinatuangusha sana.
7Hag na leo tena kipindi cha pili ukimtoa AWB, Anthony na Casemiro ramsi nakuingiza kwenye orodha ya majasusi wa Uholanzi.
Martial na Fred ni takataka zisizostahili kuwepo kwenye kikosi cha Utd msimu ujao.
Mashabiki wa man u huwa wananifurahisha Sana Fred aliperfome Sana hapo katikati game ya city na zingine akasifiwa sana kwamba hamna mbrazil mbovu Ona leo

Mtalaumiana Sana Ila hao madogo wa Albion huwa wanakiwasha Sana , huyo mjapan mitoma ni hatar tupu , huwa wanawafanya beki na midfielder wa timu pinzani wawe busy kuwakaba , sema tatizo Lao hao madogo huwa wanakosa umakini golini na kujikuta wanabutua butua , Ila wangetulia mlikuwa mnakula nyingi nyingi tuu za kutosha
Mitoma kweli ni shida sana kwenye Epl ila AWB ameonyesha anammudu vya kutosha na kumuweka mfukoni.
Kipindi cha kwanza wote Man Utd na Brighton walipata nafasi nyingi za wazi lakini hawakuweza kuzitumia.
Kipindi cha pili Brighton walikua vizuri sana na walistahili ushindi.
Screenshot_20230505_075423.jpg
 
Liverpool ana points 59 na amebakiza mechi 4, kama atashinda zote atamaliza ligi na points 71.
Man Utd ana points 63 na amebakiza mechi 5, katika hizo mechi 5 kama atashinda mechi 3 atamaliza ligi na jumla ya points 72.
Je Liverpool ataweza kushinda mechi zote 4 zilizosalia na Man Utd atashindwa kupata points 9 katika mechi 5 zilizosalia?
Kwenye Soka lolote linawezekana, tusubiri ligi iishe tuanze kuchekana.
Mki bottle hii top 4 aisee mtakua wajinga Sana watu hawatoicheka liva ila nyie ombeni msi bottle
 
Back
Top Bottom