[emoji23][emoji23][emoji23] 10Hag mpaka leo hii bado hajaona umuhimu wa Antony kucheza dakika zote 90.Martial alitakiwa Kutoka mapema na Antony angebaki
Tulia dawa iingie.Penati gani hizi wanata watu waruke kama wamasai [emoji2955]
Tulia hapo hapo mkuu 😂😂 uendelee kuifurahia showPenati gani hizi wanata watu waruke kama wamasai 🤨
Pia nimejiuliza hili swali kwanini anaingia weghost sijapata jibu.Unapomuingiza werghost kwenye mechi unakuwa na dhamira gani?
Wataalamu nisaidieni
Huyu kocha tusubiri tuone msimu unaokuja, lakn anajichanganya sana kwenye sub. Muda utaonyesha ikiwa kweli n kocha[emoji23][emoji23][emoji23] 10Hag mpaka leo hii bado hajaona umuhimu wa Antony kucheza dakika zote 90.
Tuendelee subra ila game ya leo Foward zetu ndio zimetuangusha saaana.
Hana mwingine wa kuingiza, hapo angetoa Fred na Martial akaingiza Sabitzer na Sancho akaishia hapo.Unapomuingiza werghost kwenye mechi unakuwa na dhamira gani?
Wataalamu nisaidieni
Phil Jones anatakiwa na Toto African ya mwanzaMimi sijawahi kusikia timu inamtaka phil jones [emoji38]
We jamaa waache wenzio. Mbona una visa sana?Mmeikalia 😂😂