raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,528
- 35,766
Mimi sijawahi kusikia timu inamtaka phil jones 😆Hivi mbona huyu Martial sijawahi hata sikia tetesi kuwa Kuna timu inamtaka?
Mimi sijawahi kusikia timu inamtaka phil jones 😆Hivi mbona huyu Martial sijawahi hata sikia tetesi kuwa Kuna timu inamtaka?
Phil Jones hata mazoezi huwa anafanya?Mimi sijawahi kusikia timu inamtaka phil jones 😆
Siku zote majeruhi sijui anayapatiaga kitandaniPhil Jones hata mazoezi huwa anafanya?
Kocha hajui kufanya subTunaweza kupoteza top 4 kwa huu ujinga.
Ulidhani maumivu yatapona baada ya kuhama Arsenal???Tunaweza kupoteza top 4 kwa huu ujinga.
Tuna tatizo la mshambulia makini anayeyumia nafasi chache.Kocha hajui kufanya sub