martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Tutoe maoni kama GGMU sio unafki,
Sasa mtu anasema "sijui tunakicheza nini" ndo kauli gani
Sasa mtu anasema "sijui tunakicheza nini" ndo kauli gani
Sasa hata akitoa hayo maoni yatasaidia nini au wenzetu ni bench la ufundiChangia maoni kuhusu mabadiliko gani yafanyike ili tutoboe
Ahsante Ten Hag kwa kunisikia. FRED in for ERICKSON.Toa Erickson weka Fred. Naona Sabitzer anapasha kule nje, huyu kocha anataka kutuletea majanga tena.
Maandazi mamaako. Unaona masho anafanya nini hapo. Toka ameanza first eleven na mwenzake sancho hatushindi kwa njia yoyote.Una ushabiki maandaz mkuu
Sub nzuriTen HAG mjinga, Sasa Sancho anaingia kufanya nini?
Akili za nyumbu bwana, sasa akitoa mawazo humu JF ndio itabadilisha nini pale wembley?Changia maoni kuhusu mabadiliko gani yafanyike ili tutoboe
Kumbe we ni mvuta bangiMaandazi mamaako. Unaona masho anafanya nini hapo. Toka ameanza first eleven na mwenzake sancho hatushindi kwa njia yoyote.
ApiaAhsante Ten Hag kwa kunisikia. FRED in for ERICKSON.
Kila kitu kimebadilika, sasa tunawachezea nusu uwanja.