Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Sijui huyu chacha ten hag huwa anawafundisha nn wachezaji huko mazoezini
Leo mtashinda japokuwa kipa wa BrightonDah hapa imekula kwetu sikumbuki lini mara ya mwisho kushinda kwenye matuta.
hapa tumeacha tu Mungu ampendelee yoyote tu is ok.
AmepataaaaMc Allister anaanza kupiga
AmepataaaaaaCasemiro sasa upande wa United
Nadhani golini akae Edwin van der sarDah hapa imekula kwetu sikumbuki lini mara ya mwisho kushinda kwenye matuta.
hapa tumeacha tu Mungu ampendelee yoyote tu is ok.