Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Mmelemewa
Ndio Tutashinda njaaUhakika, tushashinda.
Tayari nishampiga spana now sioni pumba zake.Chap tu hakuna usumbufu tena. 😄
Tatizo beki ya kati imeyumba na hakuna mbadala hapo njeKocha akichelewa tu kufanya sub imekula kwetu
Kweli nimeamini maneno yako Magu-waya ni ukuta wa Berlin ikiwezekana apewe mkataba wa maisha na akistaafu kucheza mpira apewe ukocha kabisa hapo Man Utd.Ndio Tutashinda njaa
Nyie tieni wote hata mfike 15 uwanjani humoNaona rashidi na shaw wanaingia