Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Naona ni 117 na ubao unasoma aggregate 2-2 . Huu mtihani kweliEt rafiki angu hadi waende tuta sio leo
Naona ni 117 na ubao unasoma aggregate 2-2 . Huu mtihani kweliEt rafiki angu hadi waende tuta sio leo
apo laliga sema tuwe na subiraao madogo wamalize extra time yaoKifurushi cha 23000 mechi ipo channel ipi wakuu
umelipia cha bei ganiChaneli 240 tunaburudika na kihabeshi
ndo nimeona hapa240 wanaonyesha
mental health is real broMkuu mbona unakosa lugha za staha na kuheshimiana kisa ushabiki wa mpira tu?
Halafu Bachelor ll anasema kuwa ni beki kisiki cha dunia .Harry Maguire anatugharimu sana
Wa compact hatupati240 Liyu Amharic
Anataka yqmkute kama kipindi like kuvamiwa na wahuni.Magwaya ni mpumbavu sana huyu jamaa ana utindio wa ubongo
Ujue jamaa kanishangaza, yaani unatokea tu huko unakuja matusi yote yale aisee, mental health nahisi ni tatizo kubwa sana hapa bongomental health is real bro
Magwaya anabebwa sana kwasababu ni muingereza ila huy jamaa hastahili kuwepo hata kwenye kikos bora apumzishwe kama jones ambae hajulikan Yuko wapiAnataka yqmkute kama kipindi like kuvamiwa na wahuni.
Businessumelipia cha bei gani
Uyo jamaa yenu hamalizagi mkataba maana toka enzi sa ferg yupo tu..na achezi ana kwa mkopoMagwaya anabebwa sana kwasababu ni muingereza ila huy jamaa hastahili kuwepo hata kwenye kikos bora apumzishwe kama jones ambae hajulikan Yuko wapi

