Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Me baada ya mbe kuludi[emoji847]
1681927805854.jpg
 
Ni vyema JASUSI la Dutch government hapo MANCHESTER United Eric ten hag akaanza kumtumia captain Maguire Kama straika
 
Eric ten hag ana tabia kama za wahaya ona sasa MANCHESTER imejaa wadachi au watu waliopita udachini

Mpaka wapishi na wafanya usafi ni wadachi
 
Back
Top Bottom