Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,878
- 16,455
[emoji23][emoji23][emoji23] hilo nalo neno.Ila Mungu fundi. Wakati tunalalamika 2 - 0 ni matokeo madogo katuonyesha ukuu wake kuwa hata hiko kidogo anaweza kukichukua.
[emoji16] Tushukuru kwa kila jambo.
Hata maandiko yanasema "Anaeshukuru huongezewa"