Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,829
- 11,655
Kocha aliwadharau mapema wachezaji waliowapa presha Sevilla wote walitolewa
Taito contender hatutaki shida tumetulia@allypipi mechi keshaiona mapema tukae kwa kutulia tu [emoji23].
Ni mdachiMalacia ametugharimu
Sevilla kama wachawi, washatutesa kwenye Champions League (sitamsahau Ben Yedder) wakatutoa tena kwenye Europa.Usimuwekee dhamana mmasai atakuachia shuka usimuone mpaka kiama
Wala siyo sub, wachezaji wenyewe ndiyo wapuuzi. Hawachezi kama timu inavyopaswa kucheza.Sub za kipuuzi kabisa.