Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kila kitu kulalamikia striker wakati wangese wanashindwa kufanya vitu basic tu.

Antony toa pasi kmke, ana-force mambo wakati Bruno alikuwa na nafasi. Malacia anatetemeka miguu tu.

Bruno 2nd leg hayupo, Martinez kaumia, Rashford kaumia. Daaah!
 
Nilisema mechi bado mbichi
hawa jamaa sio wa kuwadharau
 
Back
Top Bottom