Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Bruno na Antony ni muhimili mkubwa sana wa timu kwa sasa.Timu yetu ya utd bado ina average players wengi sana leo tumefunga magoli yote manne. Ila bado nasema ya kuwa pamoja na kwamba Antony watu wanamdharau ila timu yetu inapata tabu sana pale anapotoka.
Sijui kulikua na umuhimu gani wa kufanya sub za hawa watu kwa pamoja?
Sub ya muhimu ilikua ni ya Sancho tu, hata huyo Martial leo hakustahiki kutoka.
Draw ya leo lawama zote tunambebesha kocha maana sio mara ya kwanza wala ya pili kufanya sub zinazotucost.