Keshaweka MAWILI tayariAkaze sasa maana shots zake miguu haina nguvu kabisa kama mpiga poulie
.
Marcel Sabitzer's first half vs Sevilla: 




Sio kesi na apumzike ila bruno na Case,Mctominay wakimaliza game bila kadi ni ndotoBruno kaonewa hiyo yellow. Atakosa mchezo ujao.