D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,645
- 121,055
Hii mijamaa mikubwa sanaa halafu ina ari ya kupambana.
Bei ya Antony ni 12 pauniSio mechi ya Arsenyo tu peke yake, angalia hata mechi na Newcastle mara baada ya Antony kutolewa walitufanyaje?
Antony pamoja na vile viujingaujinga vyake anavyofanya ambavyo hata mimi hua vinanikera especially pale ambapo timu bado inahitaji kupata magoli ili kujihakikishia point 3 muhimu, ila huyu dogo bado ni muhimili mkubwa sana kwenye timu yetu.
Nina ninatumaini makubwa sana msimu ujao atakichafua kwelikweli na atakua anaimbwa na kila shabiki wa Epl.
We na uyo Fred wako, daily Fred this Fred that, mchezaji mwenyewe ni average player unatupigia kelele tu.Kikosi cha leo. Kiungo ni kile kile 'Sabtizer & Tominay" kule nje yuko Fred amechomeshwa benchi mechi 3 sasa na zote tumecheza kwa tabu sanaaa, nilitegemea ataanza leo. Baadae nadhani Erickson nae ataingia kupasha.
Wan Bissaka yuko ndani, Malacia badala ya majeruhi Shaw.
Ngoja tuone tunavyokimbizwa kushoto (yuko Sancho na Malacia)
Anthony mbn anakuumiza sn moyo wako? Kakuchukulia mke?Rashford ana Goli 15 sijui EPL
Anthony Goli 3
Mwenye Convertion rate nzuri Ni Rashid
Anthony pale mliuziwa mbuzi kwenye Gunia
Wakati cr7 anachopukia pale utd mashabiki wengi wa Ass'anal walikuwa wanamchukia sana na kusema anakimbia kimbia hovyo, lkn miaka michache iliyofuata walikaa kmy, so ukiona adui anakuchukia juwa kwamba upo vzr ila ukiona anakusifia inapaswa ujiulize umekosea wapi.Sio mechi ya Arsenyo tu peke yake, angalia hata mechi na Newcastle mara baada ya Antony kutolewa walitufanyaje?
Antony pamoja na vile viujingaujinga vyake anavyofanya ambavyo hata mimi hua vinanikera especially pale ambapo timu bado inahitaji kupata magoli ili kujihakikishia point 3 muhimu, ila huyu dogo bado ni muhimili mkubwa sana kwenye timu yetu.
Nina ninatumaini makubwa sana msimu ujao atakichafua kwelikweli na atakua anaimbwa na kila shabiki wa Epl.
Hamna mchezaji humu, man u inafuga sn majibwa ndiyo maana timu inayumba sn, mchezaji kama huyu hata bunley hapati namba lkn man u anacheza na analipwa mshahara mkubwa sana.[emoji408] Anthony Martial in 30 minutes vs. Everton:
94% pass accuracy
21 touches
15 passes completed
1/1 long balls completed
1 foul won
1 key pass
1 goal
Ice-cold AM9 is back. 🫡[emoji3063]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2581176
Nakubaliana na weweHamna mchezaji humu, man u inafuga sn majibwa ndiyo maana timu inayumba sn, mchezaji kama huyu hata bunley hapati namba lkn man u anacheza na analipwa mshahara mkubwa sana.
Tuliza komwe [emoji23]Naona Taito kontenda wanafurahi sare ya Liverpool[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Waghost Waggoner yupo ataziba nafasi yakeMarcus Rashford has undergone a scan on his groin injury.
[@mcgrathmike]
Sawa bado point 3 City anakuja.... Umesahau jasusi wa city Yule Zinny alichofanya jana.Tatizo ni hilo JASUSI la Dutch government hapo MANCHESTER United na sio Maguire