Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha

Prediction

Manchester United 3 vs Everton 0

Time
8.30

Stadium
Old Trafford a.k.a matofali ya kuchoma.

Welcome again Ericksen

Last match

Everton 1 vs Manchester United 2

Kama unaona Everton hatashinda weka bond nyumba bank hafu mbetie tuone kama hayo magoli utawafungia wewe.

GGMU

1680925355749.jpg
 
Kikosi cha leo. Kiungo ni kile kile 'Sabtizer & Tominay" kule nje yuko Fred amechomeshwa benchi mechi 3 sasa na zote tumecheza kwa tabu sanaaa, nilitegemea ataanza leo. Baadae nadhani Erickson nae ataingia kupasha.
Wan Bissaka yuko ndani, Malacia badala ya majeruhi Shaw.
Ngoja tuone tunavyokimbizwa kushoto (yuko Sancho na Malacia)
 
Mechi ya leo inanikumbusha msimu wa 18/19 tulicheza mechi ya mapema na The Toffees tukiwa kwenye top 4 race hivihivi mechi ikaisha 4-0. Moja ya mechi de Gea alizingua sana.

Tukamaliza msimu kwa droo 2 na kichapo mechi 3 za mwisho.

Early kick-off!!!
 
Dah..Dakika 7 za mwanzo hizi tumewaletea shida kubwa
 
Haya magoli tunayokosa duuh
Bado nashangaa sana kuna Mashabiki maandazi wanaponda uwepo wa ANTONY DOS SANTOS akiwemo Mwana F.A juzi kajipostisha TL kwamba kwa Antony tumepigwa..Lakini Antony anaubonda haswaaa
 
Haya magoli tunayokosa duuh
Bado nashangaa sana kuna Mashabiki maandazi wanaponda uwepo wa ANTONY DOS SANTOS akiwemo Mwana F.A juzi kajipostisha TL kwamba kwa Antony tumepigwa..Lakini Antony anaubonda haswaaa
Tumepigwa sana
 
Huyu Anthony 2big chances kakosa

Halafu eti €100m

Tukisema mmepigwa mnakasirika
 
Back
Top Bottom