Nipo hapa kugombea top 4Hongera ungekuwa sana unapatikana kwenye uzi wa Arsenane
Kaangalie Table au ilete Kama unavyofanyaga ,Everton quality ndogo..alikufanyaje wewe
Mnafurahia kugombea top 4[emoji1787][emoji1787]Nani alikuambia mpira mzuri ni ule wenu. Sisi mpira mzuri ni wa counter attacks.
SINGE DIGIT GDClean sheet
Kazi ya kupost msimamo wa ligi umeacha siku hizi?Martiaaaaaaal 2-0