Auzwe haraka sanaBissaka siyo kukaba tu sasa hivi, anakichafua sana. Huyu ndiyo abaki kama backup ya RB mpya.
Goli la Martial lisitusahaulishe, jina lake linatakiwa kuweko kwenye list ya wachezaji watakaouzwa.
bado point 3.. City anawasubiriTen Hag anamuhujumu captain Maguire kisiki ukuta wa Berlin
Hivi huu ni ujinga au ushamba? Mtu anisaidie. Kujaza tu servers.OFFICIAL:
Casemiro has now served his 4-match suspension and is available for selection again.
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2581062
Anthony kwenye mechi yake ya kwanza si alimpiga bao. Lazima amchukie.Anthony mbn anakuumiza sn moyo wako? Kakuchukulia mke?
Una ujinga mwingi sanaAjax wameweza kupenyeza JASUSI lao MANCHESTER United
Operation ni kuifirisi MANCHESTER United