D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Habari ninazotaka kuzisikia.Manchester united wanataka kuongeza nguvu kubwa upande wa midfield dirisha lijalo, taarifa zinadai pia manchester united wanamnyemelea caicedo na mc alister wote kutoka brighton
View attachment 2582122
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ten Hag ni JASUSI la Dutch government hapo MANCHESTER linamuhujumu captain Maguire
Nenda na wewe ukawe jasusiTen Hag ni JASUSI la Dutch government hapo MANCHESTER linamuhujumu captain Maguire
Akikosekana Maguire,Mctominay,Sancho,Martial ma Fred,basi nitaona maamuzi yamefanyika kwa muktadha wa kibiashara zaidi ya maendeleo ya uwanjani.#mufc are looking to let go of as much as 13 players in the summer, with the club looking to reduce the size of the squad and staying on the right side of FFP guidelines. [Simon Jones, Mail]