Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,463
- 7,078
Kwa hiyo hizo hela za bure teni hageni hazitaki si ndioKaka mkubwa mpira ni mchezo rahisi sana ndio maana guardiola anakula hela za wazembe
Kwa hiyo hizo hela za bure teni hageni hazitaki si ndioKaka mkubwa mpira ni mchezo rahisi sana ndio maana guardiola anakula hela za wazembe
Nimesema ukweli tu.Utaambiwa una chuki na 7 hag
Ole Guna ndio kocha aliyekuwa na ujasiri wakuwapa nafasi academy players na kuwaaminiKipara kuna mchezaji hataki kumuamini lakini ndiye sehemu ya suluhisho ya matatizo yetu.
Atakakuja kukumbuka shuka haliyakuwa kumekucha
Kazi kwake
View attachment 2574345
Tukiweka ushabiki pembeni siioni manjesta ya kumfunga Newcastle yenye Kiungo Bruno Guimares , Winga Saint Maximin , Alexender Isack ,kipa Nick pope
Na wale mabeki wao warefu
Bado sioni Mkipona leo ,japo mpira muda mwingine una maajabu yake
Prediction
Newcastle 2 manjesta 0
Yana ukweli haya?Title contenders have failed to score a single league goal since 19th February. We’re in april
Yana ukweli haya?
Wewe takataka wa chelsea bado unaendelea kumshikilia potter?Fuatilia, mbona kila kitu kiko wazi
Mechi zote tatu tulizocheza nao wamekuwa bora physicalityPhysique ya wachezaji wa newcastle imewashinda kwa kiasi kikubwa man u leo