Mpumbaf sana huyu kocha. Nadhani huwa ana-list ya substitution zake kaziandaa kabisa. Hata game ichange vipi habadili mawazo. Case kapigwa red alitakiwa afanye sub za maana za haraka sana. Kamuingia Tominay halafu katulia. Kasubiri mpaka dakika ya 76 ndio anawaingiza Fecundo na Garnacho wakabadili kabisa mchezo.
Lakini kuhusu Red card ya Casemiro wataalamu mnipe elimu, kwani Casemiro si alianza kuucheza mpira ukateleza ndio akamkanyaga mchezaji? Kuna dhamira hapo au ni vile alivyoonyesha meno ya kiatu?
No way kocha akakwepa lawama kwa kukosa points 3 leo. Kocha ametunyima ushindi leo, sijui toka lini tukacheza 4-1-4-1. Hatukuwa na mechi ya kuhofia mpaka akabadilisha 1st 11 na mfumo mzima wa uchezaji. Leo kocha kazingua no excuse... Hii kwangu ni 3 points tumepoteza kwa uzembe wa kocha