ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,549
- 7,987
Ukiambiwa Sancho na Wegorst nani bora utasemaje?Hii mechi Ghost atatukost yani yeye ni kukimbiakimbia tu, ata akipewa pasi anapoteza
Ukiambiwa Sancho na Wegorst nani bora utasemaje?Hii mechi Ghost atatukost yani yeye ni kukimbiakimbia tu, ata akipewa pasi anapoteza
Ila Sancho kavumilia sana hapo man u nadhani sasa ni wakati wa kocha kumwamini na kumuakikishia namba kikosi cha kwanza
Kijana wa hovyo sanaNilikuwa namtetea Rashford..lakini leo amedhihirisha tena ni mchoyo sana.
2Arsenal anaongoza 1
Hii mechi mpaka muda huu tumezidiwa... Kucheza na kiungo mmoja inatupa shida.
Casemiro REDCasemiro yellow. FRED NI LAZIMA SASA.
Eti sancho antony wanacheza upande mmojaKocha kaharibu sana hii mechi. Kikosi hovyo kabisa