Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Tanzania hii watu kama wewe hamzidi 10 hongera sana mkuu [emoji120]Ni kweli timu haijakaa vizuri kushindana lakini kwa shabiki wa maanchester yuko sahihi kuona kuna maendeleo ukilinganisha na msimu uliopita mi naona wako sawa kusifia timu yao siioni kama timu yao ni dhaifu kama wewe unavyoichukulia kucheza mpira mzuri na kupata matokea kwa pamoja sio kitu cha muda mfupi ni either uchague kimoja kati hivyo viwili kwa kocha mpya katika timu mpya huwezi kuvipata vyote kwa pamoja wape mda angalau msimu ujao unaweza kuwazodoa kwa sasa naona wamechagua matokea na wanayapata kwa kias kikubwa so kudus to ETH and his boys.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app