hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Unamzungumzia Conte wa miaka 10Conte na mpira wake wa ujanja ujanja ila ana kombe la juzi juzi tu hapo nyie arsenal miaka 18 Sasa no EPL CUP sasa sio Bora hata Conte kama unaona ni rahisi na nyie chezeni mpira wa ujanja ujanja uwape hata ka UEFA basi[emoji847]
Now tunazungumzia morden football ambayo Degea akirudishiwa mpira anatetemeka
Unadhan Kuna timu inajielewa epl inaweza kumleta Mourinho au Simeon?