
"Acha maneno weka mziki"
kundi la westlifeI have a dream.
View attachment 2545320
seven of the monthUkiwa bado unawaza saba zile basi hauko serious shabiki upepo, angalia achievements hizi nne kwwa siku hii tu ya leo.View attachment 2544590View attachment 2544591View attachment 2544592View attachment 2544593




Hata mimi najua ila sidhani kama ni eneo ambalo lina ulazima sana kubadilisha. Hata mimi natamani "the likes of Hakimi" ila eneo la RB nahisi tunaweza kuanza msimu mpya bila mabadiliko labda kama tutaweza kupata cash ya kutosha kwa kuuza wachezaji kadhaa.Dalot ni uchafu
Upewe ulinzi.Hata mimi najua ila sidhani kama ni eneo ambalo lina ulazima sana kubadilisha. Hata mimi natamani "the likes of Hakimi" ila eneo la RB nahisi tunaweza kuanza msimu mpya bila mabadiliko labda kama tutaweza kupata cash ya kutosha kwa kuuza wachezaji kadhaa.
Eneo muhimu la kusajili ni:
1. ST, hapa budget yake ita-range £60m - 100m. Kama tutamsajili Kane, Osimhen siyo chini ya 100m, ni expensive pia uwezo siyo zaidi ya Kane faida yake ni umri tu.
2. CM, hapa budget yake ita-range £70m - 100m. Kama tutamsajili F. de Jong. Bellingham pale ukisogelea Dortmund wanakupiga hata 100m (English tax)
3. CB, hapa budget ita-range £40m - 50m. Kama tutamsajili Min-Jae maana ana release clause ya €45m.
4. GK, hapa budget ita-range £40m - 65m. Kama tutamsajili Diogo Costa, Porto wanataka £60m ila David Raya ni £40m.
So hapo tu siyo chini ya £200 zitahitajika, hivyo eneo kama RB siyo hitaji muhimu sana kwetu kutokana na pesa inayoweza kupatikana kwa usajili.
Mwarabu apewe timu haraka sana. 😁🇶🇦Upewe ulinzi.
Timu akipewa mwarabu tunasajili first eleven nzima😄
But whyyy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣February player of the month!View attachment 2545585
Pamoja na ugoi goi wake Berba alikuwa fundi kweli kweli.Rashford angekuwa na shauku ya kupambata kama CR/Cole/Van Persie/Mbape angekuwa hatari mno. Sasa yupo kama Dimitar Berbatov
Hii timu kuku itaziponza timu zote England maana man UTD utoa nuksi Kwa kila mende atakaecheza nae
Munapakuliwa kule 🤣🤣🤣Good night View attachment 2545372
Nimeirudia Ile video naona kulikiwa na wenge tu aambalo.. lingerulia zingerudi japo nneHivi hii Liverpool imetufungaje 7?
Kipa alipagawa baada ya kuona mabeki wake wanafanya vby na ndio tabia ya David de gea. De gea akikaa Maguire CB unamuona kabisa hamuamini na anakosa confor. Dalot hakuwa sawa na Matnez.Nimeirudia Ile video naona kulikiwa na wenge tu aambalo.. lingerulia zingerudi japo nne
Sababu nyie ni wabovu Wala haina kupepesa machoHivi hii Liverpool imetufungaje 7?