Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie KENGE najua bado MSHONO wenu wa SABA haujakauka,leo vijana kutoka Spain lazima WAUTONESHE Damu zitoke tena KENGE nyinyi,mnakojolewaje MIKOJO Saba ambayo hata MACHANGU wa KIMBOKA hawawezi kuvumilia??
KENGE sana nyie
Shangingi umesikika.
 
Yani ni noma, hapa Man U toka asajiliwe ameshafunga goli 1 tu, na kila mechi amecheza.
Na kuna watu humu wanajaribu kutudanganya kua jamaa ni mzuri, utadhani mpira ni mchezo wa siri.
Kwanza me namuombea aumie ili nisimuone tu.
 
Manchester United have scored 2+ goals in 15 consecutive home matches for the fourth time in their history, and for the first time since March-October 2000. [opta]

#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…